Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Self-Delusion: Gifts entitle us to heaven

2 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu Gifts entitle us to heaven

  1. “Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

  2. Wengi wataniambia siku ile, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo wachafu na kufanya miujiza mingi?’