Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sea: Limits of, established by God

5 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Limits of, established by God

  1. Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo.

  2. Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, ameweka mpaka wa nuru na giza.

  3. “Ni nani aliyeifungia bahari milango ilipopasuka kutoka tumbo,

  4. Ameyakusanya maji ya bahari kama kwenye chungu; vilindi vya bahari ameviweka katika ghala.

  5. Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka.