Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sea: Creation of

5 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Creation of

  1. Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo.

  2. Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.

  3. Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya, na mikono yake iliumba nchi kavu.

  4. Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana, na ninyi maji juu ya anga.

  5. Vilisifu jina la Bwana kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa.