Mistari ya Biblia kuhusu Sanitation: Childbirth
Mistari kuhusu Childbirth
Mvulana atatahiriwa siku ya nane.
Siku uliyozaliwa kitovu chako hakikukatwa, wala hukuogeshwa kwa maji ili kukufanya safi, wala hukusuguliwa kwa chumvi wala kufunikwa kwa nguo.