Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Salome: Present at the sepulchre

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Present at the sepulchre

  1. Sabato ilipomalizika, Maria Magdalene, Maria mama yake Yakobo, na Salome walinunua manukato ili wakaupake mwili wa Yesu.

  2. Asubuhi na mapema, siku ya kwanza ya juma, mara tu baada ya kuchomoza jua, walikwenda kaburini.