Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Salome: Mother of Zebedee's sons, James and John

3 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Mother of Zebedee's sons, James and John

  1. Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo na Yosefu, na mama yao wana wa Zebedayo.

  2. Walikuwepo pia wanawake waliokuwa wakiangalia kwa mbali. Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo mdogo na Yose, pia na Salome.

  3. Sabato ilipomalizika, Maria Magdalene, Maria mama yake Yakobo, na Salome walinunua manukato ili wakaupake mwili wa Yesu.