Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Salome: Asks Jesus to promote her sons

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Asks Jesus to promote her sons

  1. Kisha mama yao wana wa Zebedayo akamjia Yesu pamoja na wanawe, naye akapiga magoti mbele yake, akamwomba Yesu amfanyie jambo fulani.

  2. Yesu akamuuliza, “Unataka nini?” Akajibu, “Tafadhali, wajalie wanangu hawa ili mmoja aketi upande wako wa kuume, na mwingine upande wako wa kushoto katika Ufalme wako.”