Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Rocks: Broken in pieces by the wind

1 mstari · 54 vipengele

Mistari kuhusu Broken in pieces by the wind

  1. Bwana akasema, “Toka nje ukasimame juu ya mlima mbele za Bwana, kwa kuwa Bwana yu karibu kupita hapo.” Kisha upepo mwingi na wenye nguvu ukapasua milima ile na kuvunjavunja miamba mbele za Bwana, lakini Bwana hakuwamo katika ule upepo. Baada ya upepo palikuwa na tetemeko la nchi, lakini Bwana hakuwamo kwenye lile tetemeko.