Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Rocks: Tombs often hewn out of

2 mistari · 54 vipengele

Mistari kuhusu Tombs often hewn out of

  1. Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa kujikatia kaburi lako mwenyewe, ukichonga kaburi lako mahali palipo juu, na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba?

  2. na kuuweka katika kaburi lake mwenyewe jipya, alilokuwa amelichonga kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa katika ingilio la kaburi, akaenda zake.