Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Rock: Oil from

2 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Oil from

  1. Akamfanya apande sehemu zilizoinuka za nchi, akamlisha kwa mavuno ya mashamba. Akamlea kwa asali toka mwambani, na kwa mafuta kutoka mwamba mgumu,

  2. wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni.