Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Rock: Smitten by Moses for water

4 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Smitten by Moses for water

  1. Aliwaongoza kupitia jangwa lile kubwa na la kutisha, nchi ile ya kiu isiyo na maji, yenye nyoka wa sumu na nge. Aliwatolea maji kutoka kwenye mwamba mgumu.

  2. Alipasua miamba jangwani na akawapa maji tele kama bahari,

  3. alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito.

  4. Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, vijito vikatiririka maji mengi. Lakini je, aweza kutupa chakula pia? Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?”