Mistari ya Biblia kuhusu Roads: From Gibeon to Beth-Horon
Mistari kuhusu From Gibeon to Beth-Horon
Bwana akawafadhaisha mbele ya Waisraeli, nao wakawashinda kwa ushindi mkuu huko Gibeoni. Israeli wakawafukuza kuelekea njia iendayo Beth-Horoni wakiwaua mpaka kufikia njia iendayo Azeka na Makeda.