Mistari ya Biblia kuhusu Purifications: Washing the whole body
Mistari kuhusu Washing the whole body
Kisha Mose akamleta Aroni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji.
Siku ya saba ni lazima anyoe nywele zake zote; yaani anyoe nywele za kichwa, ndevu zake, kope zake na nywele nyingine zote. Ni lazima afue nguo zake, na aoge kwa maji, naye atakuwa safi.