Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Publicans: Attended the preaching of Christ

2 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu Attended the preaching of Christ

  1. Yesu alipokuwa akila chakula nyumbani mwa Lawi, watoza ushuru wengi pamoja na “wenye dhambi” walikuwa wakila pamoja naye na wanafunzi wake, kwa maana kulikuwa na watu wengi waliokuwa wakimfuata.

  2. Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu.