Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Publicans: Often hospitable

2 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu Often hospitable

  1. Kisha Lawi akamfanyia Yesu karamu kubwa nyumbani kwake, nao umati mkubwa wa watoza ushuru na watu wengine walikuwa wakila pamoja nao.

  2. Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Yesu nyumbani kwake kwa furaha kubwa.