Mistari ya Biblia kuhusu Prophecy: Of false teachers
Mistari kuhusu Of false teachers
Nao katika tamaa zao mbaya, walimu hawa watajipatia faida kwenu kwa hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu imekwisha kutangazwa dhidi yao tangu zamani, wala uangamivu wao haujalala usingizi.