Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Privileges of Saints: Profiting by chastisement

3 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu Profiting by chastisement

  1. Kabla sijapata shida nilipotea njia, lakini sasa ninalitii neno lako.

  2. Baba zetu walituadibisha kwa kitambo kidogo kama wao wenyewe walivyoona vyema, lakini Mungu hutuadibisha kwa faida yetu ili tupate kushiriki utakatifu wake.

  3. Kuadibishwa wakati wowote hakuonekani kuwa kitu cha kufurahisha bali chenye maumivu kinapotekelezwa. Lakini baadaye huzaa matunda ya haki na amani kwa wale waliofunzwa nayo.