Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Privileges of Saints: King

3 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu King

  1. Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba.

  2. Wewe ni mfalme wangu na Mungu wangu, unayeamuru ushindi kwa Yakobo.

  3. “Hili ndilo asemalo Bwana, Mfalme wa Israeli na Mkombozi, Bwana Mwenye Nguvu Zote: Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; zaidi yangu hakuna Mungu.