Mistari ya Biblia kuhusu Privileges of Saints: Habitation
Mistari kuhusu Habitation
Maombi ya Mose, mtu wa Mungu. Bwana, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote.
Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako: naam, Bwana ambaye ni kimbilio langu,