Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Precious Stones: Seductive splendour and false glory of the apostasy

2 mistari · 52 vipengele

Mistari kuhusu Seductive splendour and false glory of the apostasy

  1. Huyo mwanamke alikuwa amevaa mavazi ya rangi ya zambarau na nyekundu, akimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu. Mkononi mwake alikuwa ameshika kikombe cha dhahabu kilichojaa mambo ya machukizo na uchafu wa uzinzi wake.

  2. “ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, ya rangi ya zambarau na nyekundu, ukimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu!