Mistari ya Biblia kuhusu Polygamy: Tolerated
Mistari kuhusu Tolerated
Ikiwa huyo mwana aliyeozwa mtumwa mwanamke ataoa mwanamke mwingine, ni lazima aendelee kumtosheleza huyo mke wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zote za ndoa.
Alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na mwingine Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na mtoto.
Yehoyada akamwoza wake wawili, akazaa watoto wa kiume na wa kike.