Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ploughing: Followed by harrowing and sowing

2 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Followed by harrowing and sowing

  1. Wakati mkulima alimapo ili apande, je, hulima siku zote? Je, huendelea kubomoa ardhi na kusawazisha udongo?

  2. Akiisha kusawazisha shamba, je, hatapanyi mbegu za bizari na kutawanya jira? Je, hapandi ngano katika sehemu yake, shayiri katika eneo lake, na nafaka nyingine katika shamba lake?