Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Phinehas: High priest

3 mistari · 7 vipengele

Tafuta "Phinehas"

Mistari kuhusu High priest

  1. Eleazari mwana wa Aroni akamwoa mmoja wa binti za Putieli, naye akamzalia Finehasi. Hawa walikuwa ndio wakuu wa jamaa za Walawi, ukoo kwa ukoo.

  2. Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,

  3. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Aroni: Aroni akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,