Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Phinehas: Chief of the Korahite Levites

2 mistari · 7 vipengele

Mistari kuhusu Chief of the Korahite Levites

  1. Shalumu mwana wa Kore, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora, pamoja na mabawabu wenzake kutoka jamaa yake ya Kora waliwajibika kulinda malango ya Hema, kama vile baba zao walivyokuwa wamewajibika kulinda ingilio la Maskani ya Bwana.

  2. Hapo zamani Finehasi mwana wa Eleazari alikuwa kiongozi wa mabawabu, naye Bwana alikuwa pamoja naye: