Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Perizzites: Territory of, given to Abraham

3 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Territory of, given to Abraham

  1. Wahiti, Waperizi, Warefai,

  2. Basi nimeshuka niwaokoe kutoka mkono wa Wamisri, niwatoe na kuwapandisha kutoka nchi hiyo, niwapeleke katika nchi nzuri na kubwa, nchi itiririkayo maziwa na asali, nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.

  3. Malaika wangu atatangulia mbele yako na kukuleta katika nchi ya Waamori, Wahiti, Waperizi, Wakanaani, Wahivi na Wayebusi, nami nitawafutilia mbali.