Mistari ya Biblia kuhusu Patience: Waiting for Christ
Mistari kuhusu Waiting for Christ
Kwa hiyo hamkupungukiwa na karama yoyote ya kiroho wakati mnangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Bwana aiongoze mioyo yenu katika upendo wa Mungu na katika saburi ya Kristo.