Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Patience: Commended

3 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Commended

  1. Mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake, uvumilivu ni bora kuliko kiburi.

  2. Nayajua matendo yako, bidii yako na saburi yako. Najua kuwa huwezi kuvumiliana na watu waovu na ya kwamba umewajaribu wale wanaojifanya kuwa mitume na kumbe sio, nawe umewatambua kuwa ni waongo.

  3. Umevumilia na kustahimili taabu kwa ajili ya Jina langu, wala hukuchoka.