Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Parsimony: Of the disciples, when the ointment was poured on Jesus

4 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Of the disciples, when the ointment was poured on Jesus

  1. Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini?

  2. Manukato haya yangeuzwa kwa bei kubwa, na fedha hizo wakapewa maskini.”

  3. Ndipo Yuda Iskariote mwana wa Simoni, mmoja wa wale wanafunzi ambaye ndiye angemsaliti Yesu, akasema,

  4. “Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300 na fedha hizo wakapewa maskini?”