Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Palace

28 mistari · 8 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Nitatuma moto juu ya Moabu ambao utateketeza ngome za Keriothi. Moabu ataanguka kwa ghasia kubwa katikati ya vilio vya vita na mlio wa tarumbeta.

  2. Tangazeni katika ngome za Ashdodi na katika ngome za Misri: “Kusanyikeni juu ya milima ya Samaria; angalieni wingi wa wasiwasi ulio ndani yake, na uonevu ulio miongoni mwa watu wake.”

  3. Malango ya mto yamefunguliwa wazi, na jumba la kifalme limeanguka.