Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Oil: The unction of the Holy Spirit

3 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu The unction of the Holy Spirit

  1. Unaipenda haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako, kwa kukupaka mafuta ya furaha.

  2. Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimemtia mafuta yangu matakatifu.

  3. Tena nikamuuliza, “Haya matawi mawili ya mizeituni karibu na hiyo mirija miwili ya dhahabu inayomimina mafuta ya dhahabu ni nini?”