Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Oil: For anointing to offices of trust

3 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu For anointing to offices of trust

  1. Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.

  2. Ndipo Samweli akachukua chupa ndogo ya mafuta na kuyamimina juu ya kichwa cha Sauli, akambusu, akisema, “Je, Bwana hakukutia mafuta uwe kiongozi juu ya watu wake Israeli?

  3. Pia mtie mafuta Yehu mwana wa Nimshi awe mfalme wa Israeli, na umtie Elisha mwana wa Shafati kutoka Abel-Mehola mafuta awe nabii badala yako.