Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu National Sins: Bring down national judgments

3 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Bring down national judgments

  1. Hivyo ile damu ya wenye haki wote iliyomwagwa hapa duniani, tangu damu ya Abeli, ambaye alikuwa hana hatia, hadi damu ya Zekaria mwana wa Barakia, mliyemuua kati ya patakatifu na madhabahu, itawajia juu yenu.

  2. Amin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki.

  3. Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!”