Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mizpah: 3. A city in Moab. David gives his parents to the care of the king of

2 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu 3. A city in Moab. David gives his parents to the care of the king of

  1. Kutoka huko Daudi akaenda Mispa huko Moabu na kumwambia mfalme wa Moabu, “Naomba uwaruhusu baba yangu na mama yangu waje kukaa nawe mpaka nijue nini Mungu atakachonifanyia.”

  2. Hivyo akawaacha wazazi wake wakae na mfalme wa Moabu, nao wakakaa naye muda wote ambao Daudi alikuwa ngomeni.