Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miraculous Gifts of the Holy Spirit: Enumerated

5 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Enumerated

  1. Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo.

  2. Mtu mwingine imani kwa huyo Roho na mwingine karama za kuponya kwa huyo Roho mmoja.

  3. Kwa mwingine matendo ya miujiza, kwa mwingine unabii kwa mwingine kupambanua roho, kwa mwingine aina mbalimbali za lugha, na kwa mwingine bado, tafsiri za lugha.

  4. Mungu ameweka katika kanisa, kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu, kisha watenda miujiza, pia karama za kuponya, karama za kusaidiana, karama za uongozi, aina mbalimbali za lugha.

  5. Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii.