Mistari ya Biblia kuhusu Milk: Used as food by the Jews
Mistari kuhusu Used as food by the Jews
Kisha akaleta jibini, maziwa na nyama ya yule ndama iliyoandaliwa, akaviweka mbele ya wageni. Walipokuwa wakila, alisimama karibu nao chini ya mti.
Aliomba maji, naye akampa maziwa; kwenye bakuli la heshima akamletea maziwa mgando.