Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Milk: Flocks and herds fed for supply of

5 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu Flocks and herds fed for supply of

  1. Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako ya kondoo na mbuzi, angalia kwa bidii ngʼombe zako.

  2. Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha watumishi wako wa kike.

  3. Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili.

  4. Kwa ajili ya wingi wa maziwa watakayotoa, atapata jibini ya kula. Wote watakaobakia katika nchi watakula jibini na asali.

  5. Ni askari yupi aendaye vitani kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye shamba la mizabibu na asile matunda yake? Ni nani achungaye kundi na asipate maziwa yake.