Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Metals: Ceremonially cleansed by fire

3 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Ceremonially cleansed by fire

  1. Kisha kuhani Eleazari aliwaambia askari waliokuwa wamekwenda vitani, “Haya ndiyo matakwa ya sheria ambayo Bwana alimpa Mose:

  2. Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati, risasi,

  3. na kitu kingine chochote ambacho kinaweza kuhimili moto lazima mkipitishe kwenye moto, kisha kitakuwa safi. Lakini ni lazima pia kitakaswe kwa maji ya utakaso. Kitu chochote kisichoweza kuhimili moto lazima kipitishwe kwenye yale maji ya utakaso.