Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mercy: To the poor

2 mistari · 16 vipengele

Tafuta "Mercy"

Mistari kuhusu To the poor

  1. Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu.

  2. Kwa hiyo, ee mfalme, uwe radhi kupokea shauri langu: Acha dhambi zako kwa kutenda yaliyo haki, ukaache uovu wako, na uwe na huruma kwa walioonewa. Hivyo itawezekana baada ya hayo, mafanikio yako yakaendelea.”