Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mercy: Characteristic of saints

2 mistari · 16 vipengele

Tafuta "Mercy"

Mistari kuhusu Characteristic of saints

  1. Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti. Watoto wao watabarikiwa.

  2. Mwenye haki hupotea, wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; watu wanaomcha Mungu huondolewa, wala hakuna hata mmoja anayeelewa kuwa wenye haki wameondolewa ili wasipatikane na maovu.