Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Martyrdom: The Apostasy guilty of inflicting

2 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu The Apostasy guilty of inflicting

  1. Nikaona kuwa huyo mwanamke alikuwa amelewa kwa damu ya watakatifu, yaani, damu ya wale watu waliouawa kwa ushuhuda wa Yesu. Nilipomwona huyo mwanamke, nilistaajabu sana.

  2. Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu na wote waliouawa duniani.”