Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Light: The glory of the church

3 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu The glory of the church

  1. “Ondoka, angaza, kwa kuwa nuru yako imekuja na utukufu wa Bwana umezuka juu yako.

  2. Tazama, giza litaifunika dunia na giza kuu litayafunika mataifa, lakini Bwana atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako.

  3. Mataifa watakuja kwenye nuru yako na wafalme kwa mwanga wa mapambazuko yako.