Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Language: A punishment for presumption, &c

5 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu A punishment for presumption, &c

  1. Watu walipoelekea upande wa mashariki, wakafika kwenye tambarare katika nchi ya Shinari nao wakaishi huko.

  2. Wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tufyatue matofali na tuyachome vizuri kwa moto.” Walitumia matofali badala ya mawe, na lami kwa ajili ya kushikamanishia hayo matofali.

  3. Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina tusije tukatawanyika usoni pa dunia yote.”

  4. Lakini Bwana akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga.

  5. Bwana akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao.