Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Language: Many spoken at Jerusalem

4 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Many spoken at Jerusalem

  1. Imekuwaje basi kila mmoja wetu anawasikia wakinena kwa lugha yake ya kuzaliwa?

  2. Wapathi, Wamedi, Waelami, wakazi wa Mesopotamia, Uyahudi, Kapadokia, Ponto na Asia,

  3. Frigia, Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene na wageni kutoka Rumi,

  4. Wayahudi na waongofu, Wakrete na Waarabu, sote tunawasikia watu hawa wakisema mambo makuu ya ajabu ya Mungu katika lugha zetu wenyewe.”