Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Hatred

29 mistari · 40 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,

  2. Ndugu zangu, ninyi msistaajabu kama ulimwengu ukiwachukia.

  3. Sisi tunajua ya kwamba tumepita mautini kuingia uzimani, kwa sababu tunawapenda ndugu. Kila asiyempenda ndugu yake akaa mautini.

  4. Yeyote amchukiaye ndugu yake ni muuaji, nanyi mwajua ya kwamba muuaji hana uzima wa milele ndani yake.