Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Decalogue

54 mistari · 5 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Yesu akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”

  2. Msidaiwe kitu na mtu yeyote, isipokuwa kupendana, kwa maana yeye ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria.

  3. Kwa kuwa amri hizi zisemazo, “Usizini,” “Usiue,” “Usiibe,” “Usitamani,” na amri nyingine zote, zinajumlishwa katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.”

  4. Upendo haumfanyii jirani jambo baya. Kwa hiyo upendo ndio utimilifu wa sheria.