Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Curse: Against the ground

2 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu Against the ground

  1. Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo siku zote za maisha yako.

  2. Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako, nawe utakula mimea ya shambani.