Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Covetousness: Punishment of

3 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu Punishment of

  1. “Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu katika mapato ya udhalimu, kwa kumwaga damu isiyo na hatia, kwa uonevu na ukatili.”

  2. Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda: “Hawatamwombolezea wakisema: ‘Ole, ndugu yangu! Ole, umbu langu!’ Hawatamwombolezea wakisema: ‘Ole, bwana wangu! Ole, fahari yake!’

  3. Atazikwa maziko ya punda: ataburutwa na kutupwa nje ya malango ya Yerusalemu.”