Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Covetousness: Eli's sons

3 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu Eli's sons

  1. Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu Bwana.

  2. Basi ilikuwa desturi ya makuhani pamoja na watu kwamba kila mara yeyote anapotoa dhabihu na huku nyama ikiwa inachemshwa, mtumishi wa kuhani angalikuja na uma wenye meno matatu mkononi mwake.

  3. Angeutumbukiza huo uma kwenye sufuria au birika au sufuria kubwa au chungu, naye kuhani angalijichukulia mwenyewe chochote ambacho uma ungekileta. Hivi ndivyo walivyowatendea Waisraeli wote waliokuja Shilo.