Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Compromise

7 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. usiharakishe kukipeleka mahakamani, maana utafanya nini mwishoni kama jirani yako atakuaibisha?

  2. Kama ukifanya shauri na jirani yako, usisaliti siri ya mtu mwingine,

  3. ama yeye aisikiaye aweza kukuaibisha na kamwe sifa yako mbaya haitaondoka.

  4. “Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani.

  5. Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.

  6. Uwapo njiani na mshtaki wako kwenda kwa hakimu, jitahidi kupatana naye mkiwa njiani. La sivyo, atakupeleka kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa afisa, naye afisa atakutupa gerezani.

  7. Nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”