Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Asher

4 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Wazao wa Asheri kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Imna, ukoo wa Waimna; kutoka kwa Ishvi, ukoo wa Waishvi; kutoka kwa Beria, ukoo wa Waberia;

  2. kutoka kwa wazao wa Beria: kutoka kwa Heberi, ukoo wa Waheberi; kutoka kwa Malkieli, ukoo wa Wamalkieli.

  3. (Asheri alikuwa na binti aliyeitwa Sera.)

  4. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400.